Pia wanawake wazidi kupewa kipaumbele kikubwa sana hasa katika michezo ikipelekewa na mchezo wa mpira wa miguu na mingineyo kwa pamoja tutajenga Taifa imara lenye nguvu kazi moja.
Nafikiri pia cha kuongezea kwenye swala la Bima ya afya kwa watu wote ni kutoa helimu hasa vijijinii na pia kwenye ngazi za shule lakini pia kuwepo na matamasha ambayo yatahamasisha swala zima la Bima ya afya kwa kila mtanzania.
Natamani tuendele kuwa na viongozi wanawake hasa katika jamii za sasa hivi ili waweze kuhamasisha baadhi ya maeneo ambayo wanawakecwengi wamea wakikatishwa ndoto zao kwa ndoa za utotoni
Natamani makala hii ya Bima kwa watu wote ifike mbali zaidi maana ulichoandika hapa kina gusa maisha ya walio wengi bila kuweka elimuu mbele wapo wenye elimu kubwa lakini wengi wao hawana bima za afya na yote hii ni kutokujua umuimu wa hii huduma.
Na kwa uwelewa wangu huu wa kawaida nadhari wizara husika pamoja na watu muhimu kama wewe waamasishajii ilibidi swala hili lianzie shule za msingi angalau watoto wakuwe wakielewa umuhimu wa bima ya afy kwa watu wote
Nafikiri leo ndo nimeelewa zaidi kuhusu JINSI na JINSIA na nafikiri jamii inafaa kutambua kuwa kiongozi bora sio lazima tuu awe ni wa jinsia ya kiume bali hata wanawake pia wana uwezo mkubwa sana wa kuwa viongozi bora na sio bora kiongozi. Nadhani jamii tungeongezewa elimuu kuhusu hili swala ja...
Kutokana na upungufu wa elimu ya Bima kwa hii makala yako naona watu wengi sana watapata mwangaza na watajua faida ya kuwa na Bima ya afya. Safi sana kijana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.