Recent content by Gee Mtaita

  1. G

    JamiiForums KERO Utaratibu unaofanywa na Credit Info kubadili historia ya mikopo baada ya miaka 6 wakati mtu alimaliza kulipa deni ni kandamizi

    Nilitaka kuchukua mkopo Bank lakini nilishindwa maana niliambiwa nina Deni kwenye kampuni ya Simu. Baada ya kulilipa lile Deni niliomba Report ya CRB kuangalia Deni langu. Bado deni lilionekana lipo hata baada ya mwezi mmoja. Nilifanya mawasiliano na kampuni ya Credit Info wanaohusika na kutoa...
Back
Top Bottom