Recent content by ge ja

  1. ge ja

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Mm nimewah tumia bolt kama abiria, ni cheap sana baada ya kumaliza safar zangu nikapata kumuhoji dereva wa bolt, ilikuwa ni boda kuwa unapata faida? Alichonijibu ni kuwa hii kazi bro ni nzur kwa sababu si sawa na kukaa kijiweni na kusubir mteja, mfano mm nimekuleta hapa mbagala ww, hapa mm...
Back
Top Bottom