Habari wakubwa,
Samahani kwa wenye experience ya kuagiza gari na hawa Autocom Japan,naomba kufahamu mambo haya:-
1. Kwenye Malipo huwa wanakuwa na Account maalumu ya Kampuni ili kufanya Malipo,au zinabadilika badilika?
2. Huwa wana namba moja maalumu kwa ajili ya mawasiliano WhatsApp au zipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.