"
Kutokana na kani ha uvutano kati ga dunia na vitu vinginevyenye uzito dunia huvuta kwa kani ya kg9.8 kwa kila nutoni moja,,,, lakini hewa ni fluid ,, mfano chukulia maji yalokwene besen au ndoo ukivuta beseni maji huwa hayaendi sawa na mwendo wa maji yaliyoko kutokana na mshikamana na wepeai...