Wazungu ndo mamaster wa kubrand mtu,ukiwa upande wao utaonekana wa maana sana ila ukikengeuka tu wanakuchafua na kukupiga.
Kwa hyo Mandela alinyanyuliwa na wazungu kwa kulinda uchumi wa kizungu usiharibiwe ndo mana unaimbwa hvyo.
Kwetu sisi watanganyika baba yetu aliekuwa mzalendo wa kiafrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.