Recent content by gaston11

  1. gaston11

    GE2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

    🤣🤣 Mkuki kwa nguruwe sio, jamaa alidhulumu watu ndio maana wakaamua kumshughulikia sema kwakuwa mshkaji mwanasiasa ameamua kuisingizia serikali kwaiyo kile kilema amejitakia
  2. gaston11

    GE2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

    Hakuna 50/50 ipo wazi kabisa magufuli anashinda kwa kishindo kikali sana
  3. gaston11

    GE2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

    😂😂😂 poleni sana yani uchaguzi huu magufuli atagalagaza yule kilema kwa kura nyingi sana tena za kishindo alafu mumtafutie kazi ya kufanya baada ya uchaguzi asije kua ombaomba
  4. gaston11

    GE2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

    Yani wapinzani wamechanganyikiwa alafu kuna zile za ndani kuwa mgombea wao na mwenyekiti wake hawaelewani kisa wamedhulumiana pesa
  5. gaston11

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Pole sana kwanza tambua yule ni raisi wa nchi kwaiyo popote pale aendapo lazima apewe heshima yake, kuhusu kura naomba usihangaike mpigie kura magufuli ili tanzania azidi kupata maendeleo tunaomba kura yako tafadhali
  6. gaston11

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Watanzania tunajitambua sikuizi ndio maana wapinzani wanapata sana tabu kutushawishi, naomba kura yako mpigie magufuli maana yeye anatufaa sana
  7. gaston11

    GE2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

    Wamemchinjia baharini siasa hizi kweli hazina muamana usisahau kumpigia kura yako mh Magufuli maana yeye anatufufaa hawa wengine ni janja janja
  8. gaston11

    GE2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

    Tayari bundi ametua huko upinzani, vipi kujusu Membe yeye si alichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ACT wazalendo sasa huyu watakae muunga mkono tofauti na membe ni nani, kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini
  9. gaston11

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Hahahah wala silii na sito lia maana mimi ni kijana mchapakazi na nafanya shughuli zangu kihalali ndio maana nasema tumuunge mkono raisi wetu mpendwa apate mitano mingine ili tupate maendeleo zaidi ya haya tunayo yaona, naomba kura yako mpe magufuli yeye anatufaa achana na hao wajanja janja...
  10. gaston11

    CCM, neno 'HAKI' ni tusi kwenu?

    Tunaomba kura yako tarehe 28 october iende kwa magufuli hakika ndoto zako zitatimia maana yeye ndie anaetufaa naomba sana kura yako umpe
  11. gaston11

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Yani mbona uko wazi lissu anapigwa wala haiitaji degree kujua hili
  12. gaston11

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Hakuna mwenye akili timamu atakae mpigia kura lissu wengi wanaopinga ni kwaajili ya kutaka umaarufu maana hawajui nia yake ila jamaa anaokana wazi ana nia mbaya
  13. gaston11

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Siku zote kura Haibiwi na hato ibiwa ila hawezi kushinda
Back
Top Bottom