Recent content by Gandhi

  1. Gandhi

    SoC02 Reginald Abraham Mengi, tajiri wa kwanza mweusi tangu tupate Uhuru

    Ni ukweli uliowazi kwamba jina Reginald Mengi sio jina geni Hapa, kila mmoja alimjua au kumfahamu kwa namna yake, hata kama hukuwahi kuwa karibu naye, kama mimi ninayeandika haya, lakini haikudhuia kumfahamu kama sio kwenye Utajiri wake, bhasi shughuli zake na haswa akiwa Nguli katika Tasinia ya...
  2. Gandhi

    SoC02 Je, upi wajibu wa Serikali kwa Vijana?

    Ni swali adimu leo hii kuliskia viongozi wakiulizwa leo hii, pamoja na ukweli kwamba vijana wamefikia 70% ya Watu wote nchini. Isitoshe pale unaposkia vijana wakitajwa au kuzungumziwa mara nyingi unaskia wajibu wao tu kama vijana. Na katika Mkwamo mkuu wa Ajira vijana bado vijana atarudishiwa...
Back
Top Bottom