Recent content by Gameon

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mm nakuelewa sana mkuu sema leo nimechelewa kuona mkeka wako ila always huwa nakufata.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Nimetoka kuangalia taifa stars vs Swaziland nilichokiona kinasikitisha. Ila kwa kifup fukuza huyo kocha anakula hela zetu bureeeeee yaan bila jasho hamna anachofundisha pale. Bora mumpe kocha mzawa na sio yule.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ameshapigwa moja bila
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Torino anafanya yake mapema hiv kweli
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inter kaninyima hela shenz sana Mancini na timu yake
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimemchukia kipa wa Valencia kwa alichokifanya leo akifuatiwa na timu nzima ya Napoli.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naona Valencia anachana hapa
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeidownload hiyo application ila inaonyesha game za Norway tu
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Young boys katuua wengi kumbe nilidhan peke yangu. Daaah
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na Mungu akubariki
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo natoka hivi
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakwanza huo wadau, uchambuz kidogo niongeze au nipunguze timu ili nitoe wa pili.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mhindi chaliiii
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Besiktas wanachana mkeka mapema sana daaaah
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo ngoma ngumu, kesho pia ni cku
Back
Top Bottom