Recent content by gamboshi kwetu

  1. G

    Mhe. Sugu: CCM ina mgogoro na kila mtu / Taasisi

    Hata mimi nina MGOGORO NAO HAWA MACCM, kupitia wao madaktati waligoma na nikampoteza mzazi wangu mpendwa pale KCMC hospital. Kwa kweli sitakaa nikaweka maridhiano na serikali ya CCM kwa garama yoyote mgogoro nilionao na hawa watu naweza sema ni mkubwa sana kuliko hata ule wa marekani na alkaida...
  2. G

  3. G

    UCHAMBUZI: CCM yasoma alama ya Nyakati, UKAWA waendeleza status quo

    CCM ni sawa na chuma chakavuu tuuu.... Iwe ya Membe au Lowasa Eddo
  4. G

    UCHAMBUZI: CCM yasoma alama ya Nyakati, UKAWA waendeleza status quo

    Ukitaka kujua kama CCM imechokwa na wapiga kura njoo huku mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Kagera na Kigoma.... Wananchi wanasema CCM bye bye....
  5. G

    Mkuu wa wilaya ya Rombo arudisha matumaini ya wana-CCM jimbo la Rombo

    chadema mtake msitake lazima 2015 mtafute mitaa ya kupita
  6. G

    Mkuu wa wilaya ya Rombo arudisha matumaini ya wana-CCM jimbo la Rombo

    Leo ni takribani miezi mitatu (3) tangu DC wetu ndugu Lembris Kipuyo alipoanza kazi kama mkuu mpya wa wilaya hii ya Rombo. Ni ukweli uliowazi kuwa dalili zote zimeonyesha kuwa kiongozi huyu mchapakazi ameweza kwa kipindi kifupi kurudisha matumaini ya chama chetu cha CCM hapa jimboni kwetu baada...
  7. G

    Katibu wa Mbunge Selasini na Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Rombo ajiunga na CCM

    Vijana wanatumia fursa zinazojitokeza na hiyo 20,000 mliyowapa ni chenchi kidogo miliyopora kwa magunia na salfeti.... Ref. Escrow and EPA scandals....Hivyo vijana wa hapa mpakani wanachangamkia chohote almuradi mkono iende kinywan i... Nyie nendeni zenu mtuachie Rombo yetu... Najiapiza 2015...
  8. G

    Katibu wa Mbunge Selasini na Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Rombo ajiunga na CCM

    Mtawadanganya wale ambao hawakuwa hapo Tarakea Rombo, tiliokuwepo tulichoshuhudia ni wakimbizi wa kikamba waliosombwa kwa Noah kutoka kijiji cha Holili na basi maarufu LA jamaa wa pale Mashati..... Tuliokuwepo katika mkutano tunajua maigizo yote .....vijana wamehongwa 20,000@ ili wavae...
  9. G

    Dr. Slaa ni chuma cha pua na mwanasiasa jasiri, Nape tafuta size yako

    Magamba yanatapatapa....... Choma choma choma chomaaaaaa..... Choma moto magamba yote mpaka yaungue moto magamba Shikamooo chama langu Chadema.... Naomba kuwSilisha.
  10. G

    Dr. Slaa ni chuma cha pua na mwanasiasa jasiri, Nape tafuta size yako

    Lazima magamba wapate ujauzito mwaka huu ,,.....,,...... ............. . ........ ... ....... M...........
  11. G

    Dr. Slaa ni chuma cha pua na mwanasiasa jasiri, Nape tafuta size yako

    CCM aka Magamba lazima mwaka huu muiname ili dawa iingie ndani na homa mliyonayo itoke.... Hakuna namna na tumechoka sasa lazima magamba tuwapige chini na lazima mvimbe juu.
  12. G

    Mzimu Wa CHADEMA waendelea kuwatesa madiwani Wa CCM na maCCM huko Rombo

    Huku kwetu Mtwara tunawapa big up sana wapiganaji wenzetu Wa Huko Moshi, Rombo na Arusha huh mwendo Ni Wa kupiga na kuchakaza masalia ya magamba wote yaani naichukia CCM kama ninavyomchukia shetani au Nguruwe
Back
Top Bottom