Recent content by Gambavid

  1. G

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa watoto wachanga

    [KQUOTE="urumrawi, post: 25377388, member: 446286"]Subiri kwanza mbona haraka? Sema wewe ni Baba mlezi wa mtoto Kwa nn mlezi?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa watoto wachanga

    Yap nimejikuta nashindwa kujizuia kucheka kwa the way ulivyomalizia statement yako 'atakuwa softy km mama samia suluhu!'..so nikawa nafanya association kati ya umri wa mama Suluhu, ngozi yake na ngozi ya mtoto nikaishia kucheka maana hii kwa waswahili tunaita mubalagha!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa watoto wachanga

    Asante sana kiongozi kwa ushauri
  4. G

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa watoto wachanga

    Mimi ni ME (baba wa mtoto tajwa hapo juu) though baadhi ya wadau wame-comment kwang km KE ila nili-ignore jinsi/jinsia nika-focus kwny point tu..hivyo kwa kuwa umeuliza nimeamua niiweke sawa ili lisilete utata tena
  5. G

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa watoto wachanga

    Asante
  6. G

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa watoto wachanga

    Thanx bro
  7. G

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa watoto wachanga

    Asante kwa ushauri
  8. G

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa watoto wachanga

    Ha ha ha ha ha ha......asante sana mpendwa kwa ushauri mzuri ubarikiwe
  9. G

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa watoto wachanga

    OK.....asante kwa maelezo mazuri hiyo ni kweli na hakika
  10. G

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa watoto wachanga

  11. G

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa watoto wachanga

    Jina la Hospital laweza kusaidia kutambua tatizo??....au sijalielewa swali lako?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa watoto wachanga

    Thanx
  13. G

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa watoto wachanga

    Habari wana-JF samahani napenda kuuliza nina mtoto mchanga mwenye umri wa wiki moja amepatwa na vipele vyenye ukubwa wa kadri lakini vinaonekana kuwa na vijiusaa kwa ndani je ni kawaida au ni shida?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Udongo wa kupandia miche (planting medium)

    Bei ya trey za kupandia tafadhari....
  15. G

    JamiiForums Tanzania Udongo wa kupandia miche (planting medium)

Back
Top Bottom