Recent content by gallen

  1. G

    Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    Iko vzuri axee ngoja nipate muda tuendeleze project ya map ya bongo tutapena updates
  2. G

    Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    unatakiwa uende ktk kiyuo cha mafuta au garage au hotel au kituo cha kupumzika utaona alama ya kitanga ktk ramani yako ndo uenede hapo utaona sehemu ya paking ukifka uitakwambia press E then Enter ndo unalala. NOTE. kama upo mjini utatakiwa uenede ktk garage or hotel bt nje ya mji ndo vituo vya...
  3. G

    Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    kama unatumia uero tuck kuanzia version ya 1.17 na kuendelea kuna option ya kutoa speed limiter mkuu bt kama chini ya hapo kuna mod unatakiwa udownload kutoa speed limiter. hii picha ni kwa version 1.17 na kuendelea
  4. G

    Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    kwani unashida yoyote ktk kucheza hilo game mkuu?
  5. G

    Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    Yeah inawezekana sio kazi sana sema inatake time ngoja tuanza taratibu baada ya muda tuna weza tukawa na kitu hata miji mitano tu ya kuanzia.
  6. G

    Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    mi natumia toshiba satelite RAM 2GB, HD 500 GB na processor 2.13GHtz
  7. G

    Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    kutengeneza map ya bongo inawezekana bt itakuwa haina uhalisia sana co vitu kama majengo lazima utumie yaleyale yaliyopo ktk game na majina ya miji pia inachukua muda kidogo kuyabadilisha
  8. G

    Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    check hii attachment nimeweka mods na hayo makampuni ya kibogo bt ya mabasi ina MBs nyingi kidogo ntaiweka soon. NOTE. mods hizi zinafanya kazi ktk version ya 1.7 na kuendelea so make sure game yako ina hiyo version or zaidi
  9. G

    Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    pole mkuu,gari likipata ajali or likiharibika unatakiwa ulipeleke garage kulitengeneza na unafollow steps zifuatazo, 1.press F7 2. press Ok or Enter then utaona gari lipo garage then utachagua kuna option ya kutengeneza na kupaka rangi
  10. G

    Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    rough roads inasemekana zipo ktk map ya korea(mimi bado cjajaribu kuitumia) so ww tafuta hiyo mod ya korea map uijaribu.
  11. G

    Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    Hiyo mpaka uadownload map ya European+Africa mod
Back
Top Bottom