Kocha Aussens ni binge LA kimeo ila amepata bahati ya kuwa na wachezaji wazuri. Angepewa timu kama Ndanda au Mbeya City asingepata sifa aliyonayo. Simba wanabugi kumpa mkataba mwingine. Makocha wazuri ni Mwinyi Zahera wa Yanga na Ndiyaragije wa KMC
Simba sports hawana bahati ya kupata makocha wazuri kama ilivyo kwa Yanga. Wamekuwa wakiajiri makocha wabovu hata huyu aliyepo sasa Patrick Aussens. Ni kocha gani ambaye ujio wake haubadilishi uchezaji wa wachezaji. Kila mchezaji anacheza kama alivyokuwa akicheza kabla kocha hajaletwa. Na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.