Recent content by gagaricha

  1. G

    Naweza kuchaguliwa kozi ya tano niliyoomba?

    mimi pia yamenikuta hayo hayo sasa ivi njutia kwanini nlikiweka icho chuo cha tano na ndicho nlicho pangiwa ......
  2. G

    Kuhama Chuo TCU

    sasa procedures gani zakufatwa ili kupata nafasi zakuhama chuo???
  3. G

    Kuhama Chuo TCU

    ukihama chuo kunauwezekano wa kuhama na mkopo wako?
  4. G

    Kwa waliochaguliwa SUA

    mimi bachelor of science in irrigation and water resourced ingeneering ...nataka kuijua vizuri kwasababu sina uhakika nayo na ndio nlio pangiwa
  5. G

    TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

    sawa mkuu nimekusoma...ila usinikatishe tamaaa....
  6. G

    TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

    division one ya kumi kwa kuhesab au points kum?
  7. G

    TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

    nakuelewa sana mkuu sasa natafuta ushauri juu ya iyo koz kwasababu kwangu ni ngen sana plz kama unaijua nidaidie yan mm cjui ata nitaajiriwa wapi tusikatishane tamaa nauliza tuu wakubwa
  8. G

    Naomba kufahamu kuhusu Bachelor of science and water resourses engineering

    salut wadau nilikua naomba kuuliza kama hii koz inasoko na ajira kwa wale wanayo ifahamu pia kama inaugumu wowote....
  9. G

    TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

    dah..kwakweli mimi aya ndio machaguo yangu vinginevyo ctaweza kwasababu nategemea chuo cha serikali kutokana na unafuu wa ada ukizingatia hali ya uwezo wa familia ntokayo...labda kama kunamtu anaye ifaham vizur iyo koz ya irrigation and water resources engeneering ya Sua kama ni marketable
  10. G

    TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

    tatizo langu ni sikuwahi kuiwaza iyo koz sasa natamani kuhama chuo.kama uezekano upo
  11. G

    TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

    kwakweli mimi mwenyewe ni muhanga katika hilo nimechaguliwa chuo ambacho sikutegemea...sasa ivi nafuta ushauri kama inawezekana kuhama chuo na course...nlisoma pcm nkapata B-PHY C-MATHS AND B*(PLUS)-CHEM Ambayo ni divition two point tisa nlipangwa sua bachelor of science in water management and...
Back
Top Bottom