Recent content by Gadzeny jr

  1. Gadzeny jr

    JamiiForums Tanzania MSAADA wa haraka kutoka NACTE wadau.

    Click ile sehemu ya vyuo then shuka mpaka mwisho kabisa kuna sehemu wamekuandikia click hapa kama Chuo chako hakipo kwenye then baada ya kuclick utaandika jina la Chuo alafu uendelee na process nyingine
  2. Gadzeny jr

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri ya Olevo ya Wasichana mkoani Kilimanjaro.... Pamoja na ada zao

    Mlete KANDOTO GIRLS ipo kilimanjaro wilaya ya same 20 bora kitaifa haikosagi pia ni ya sayansi na pepa zake necta rudisha nyuma na hakika hutojutia
  3. Gadzeny jr

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE Angalieni Tofauti iliyopo Katika Kutunuku GPA

    Hiyo ya nacte
  4. Gadzeny jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Registration number inakataa NACTE

    Kabla hujafika kwenda kuchagua vyuo kuna vipengele kama vitano ivii wanakuletea Ujibu YES or NO Sasa kama ukijibu YES lazima uje ukitolee ufafamuzi mbeleni
  5. Gadzeny jr

    JamiiForums Tanzania NACTE tatizo ni nini?

    Wew usibabaike na hayo maelezo yao wew log in tu saiv admission ni kwa bachelor tu hat mm nimekuta ivo ila nikaingia kwenye account yang fresh
  6. Gadzeny jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Registration number inakataa NACTE

    Click No kwa vile vipengele vyote walivyokuletea hata mm ilinitokea hiyo cz niliclick yec kwenye kipengele hcho
  7. Gadzeny jr

    JamiiForums Tanzania Hivi NACTE hawajafunga maombi awamu ya pili?

    Usibadili wew utakosa chuo
  8. Gadzeny jr

    JamiiForums Tanzania Apllication for diploma holders to degree

    Ina maana zile code za m pesa zilikubali alafu wakakuletea username na password hukucopy mahali ukajua watatuma kwenye e mail
  9. Gadzeny jr

    JamiiForums Tanzania Apllication for diploma holders to degree

    Ijaribu Mara kwa Mara itakuja kukubali
  10. Gadzeny jr

    JamiiForums Tanzania Hivi tutatusua kweli?

    Duh! Huu mwaka wetu
Back
Top Bottom