Recent content by Gabriel Mwalo

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki LATOA MWONGOZO WA MAONI YA KATIBA

    Siamini kama ni mwongozo umetolewa labda niwe sijui maana ya neno hilo. Naamini lengo la Kanisa lilikuwa ni kuwahimiza waamini wake kushiriki katika utoaji wa maoni. Na mwisho wa siku anayetoa maoni ni raia wa Tanzania lakini lililo la muhimu aende kutoa maoni akiwa anajua ni nini anachotakiwa...
Back
Top Bottom