Recent content by Gabriel minde

  1. Gabriel minde

    Natafuta kazi ya udereva either kwenye kampuni au mtu binafsi

    Naitwa Gabriel minde natokea dar es salaam Nina uzoefu na kazi ya udereva natafuta kazi ya udereva leseni yangu class A,A2,B,D,E,F Nina uzoefu na hii kazi nipo tayari kufanya kazi kwenye kampuni au mtu binafsi, naombeni kazi wakuu namba yangu hii apa 0689090019 nipo tayari kufanya kazi
Back
Top Bottom