Hello!
G2D Fashion Collection ni wadau wapya kwenye kitengo cha mavazi na designing Tanzania! Tunadesign, kushona na kukodi nguo zote za harusi, send off, kitchen party. pia tunadesign na kushona vitenge, batiki, bazee nk kisasa na kileo kulingana na mahitaji ya wateja kwa wanaume na wanawake...