Naunga mkono hoja ...endapo Lowassa atapeperusha bendera ya Chadema na baadae UKAWA nitaichachana kadi yangu ya uanachama wa Chadema na Kutafakari either niwachane na siasa au niamie chama kingine..huu ni unafiki mtupu
Mkuu akili yako mgando sana..... Naomba ukajipange maana Chacha Wangwe alifariki 27/07/2008 Leo ni tarehe 28/07/2008..kweli nimeeamini CCM mwaka huu lazima waokote makopo
Mkuu hizo ni rumours tuu..ni uongo mtupu..Hakuna mwanachadema mwenye miaka 30 kwenye chama maana chama hakina hata miaka 25 toka kiundwe...Husipende kusikiasikia kutoka kwa watu wengine ni pro-ccm..SSikiliza maneno kutoka kwa viongozi ndio ufanye maamuzi yako ...Vinginevyo Viva Chadema Viva Ukawa
Utaamini vipi wakati wewe ni Kada wa CCM....heading na mada wala haziendani kabisa...Ni wapi Chadema wametangaza Lowassa kuwa Mgombea uraisi wao ??? CCM mwaka huu mtabeba makopo ...Lowassa atakuwa mwanachama wa kawaida na uongozi wake mkubwa ni Ubunge nothing more
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.