Recent content by G 3 P SHUTTLE

  1. G

    Katiba Mpya: Dk. Slaa awasilisha maboksi 17 - Yanahusu maoni ya Katiba, Warioba agoma

    Mimi nilivyoelewa ni kwamba maoni hayo yalichukuliwa na kuandikwa kwenye vitabu viwili ambavyo Dr. aliviwakilisha na hayo mabox ni kama ushahidi pindi tume ikipenda kujilidhisha na sio kama wengine wanavyotaka kuaminisha wengine kwamba maoni yamekataliwa
  2. G

    Vyuo vikuu wampendekeza January Makamba kuwa Rais ajaye

    wamewazalaulisha wanafunzi wa vyuo kwa kweli, lakini katika tafakuri yangu nimeona hawa vijana walio tajwa hapo juu wanataka watafutwe ili wapewe ajira hawana lolote.
  3. G

    Wananchi wa jimbo la Manyoni Magharibi wana hitaji ukombozi na mabadiliko

    vijana wa singida kwa sasa hasa wa jimbo hili wamebadlika sana ila wanakosa elimu ya mabadiliko, lakini wachache wao tupo imara na tunaendelea kutoa elimu.
  4. G

    Wananchi wa jimbo la Manyoni Magharibi wana hitaji ukombozi na mabadiliko

    Hili ni jimbo linaloongozwa na ccm kwa muda mrefu ambalo ni moja ya ngome imara ya ccm kwa mkoa wa singida , kwa sasa linaongozwa na mbunge wa ccm john Lwanji, wananchi wamekua na kiu ya madiliko kwa muda mrefu lakini wanamasikitiko kuwa viongozi wa kitaifa wa chadema hawajawahi kufika maeno...
Back
Top Bottom