From mnyilinga editing team Hellow guys pengine unahitaji logo kari na matangazo tuko kwa kazi hiyo
Kazi zetu utazipenda na gharama ni ndogo sana kwa ku design logo tuna vunja vunja bei ni sawa na bureee !!
Karibu sana ujipatie huduma zote za logo designing na matangazo na editing nyingine...
Sasa unaweza kujipatia logo kari sana kama hizi kwa bei nzuli kabisa na kwa muda lafiki karibu sana
MLB (Mnyilinga logo bank ) 😁😁
Kwa mahitaji ya logo nichek DM tuongee kwa bei nzuri sana na kwa muda lafiki wa kufanya kazi yako .
Nimetengeneza hii leo kama unahitaji logo kali ni cheki tuongee
MIMI GHARAMA ZANGU ZA LOGO DESIGNING NI NAFUU SANA NA LOGO NI NZULI
WATAALAMU !
nahitaji msaada wa mawazo pamoja na mwongozo wa hili nina Tsh 300k (laki tatu) je naweza kupata laptop nzuli yenye uwezo wa kunisaidia Graphic...
Wakuu nahitaji ushauri na pia maoni kuhusu hili,
Naitwa Eliud Novat naishi Dar es Salaam. Nina ujuzi wa kutengeneza logo na napenda sana digital designing lakini tangu nijue nina huo utaalamu sijawahi kufaidika chochote na kipaji hicho.
Je, nawezaje kukitumia kipaji hiki iwe fursa ya mafanikio...
Hellow guys kuna kitu nilikuwa nahitaji ushauli kidogo niko katika mahusiano na binti mmoja mdogo hatuna muda sana katika mahusiano yetu lakin ukweli nampenda sana na nahisi nae ananipenda tatizo ni Baada ya muda katika mahusiano Baada ya kuwa nataka tufanye mapenzi alikuwa akini fanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.