Recent content by fuu

  1. F

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Bei?
  2. F

    Msaada wa namna ya kupata product key za microsoft office

    Asante mkuu ngwa nijaribu njia hii pia
  3. F

    Msaada wa namna ya kupata product key za microsoft office

    Ahsante kwa niitafute labda na mimi itanifaa
  4. F

    Msaada wa namna ya kupata product key za microsoft office

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba msaada wa namna ya kupta product key za microsoft office 2007 make nimedownload hiyo microsoft office ila kila nikitaka kuinstall kwenye laptop inataka niweke hizo product key ambazo sina na sijui nazipataje Mwenye uelewa wa hili anisaidie...
  5. F

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Wakuu kwa 400k ntapata iphone gani, yenye specification zipi? Ukinijibu na unayo itakuwa vizuri zaidi coz tunaunganisha na kufanya biashara kabisa.
  6. F

    Movies, Movies , Series, vitabu, na Documentary

    Into the bad land season 3 unayo?
  7. F

    Uliza swali lolote juu ya afya ya ngozi

    Mkuu ninafangasi katikati ya mapaja na sehemu za siri nimetumia dawa mbalimbali lakini zinapungua tu na baada ya muda zinarudi tena,,,,nifanye nini ili ziishe kqbisa na zisirudi tena?
  8. F

    Inahitajika TV nchi 42 aunt 43 chaap

    Mbona hujaweka offer yako na unataka tv ya kampuni gani?
  9. F

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nimependa sana kazi anazingatia mda na makubaliano inshot yuko vzr sana ktk kazi yake
  10. F

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Kamela nilotumia kupigia picha sio nzuri ndio maana picha sio angavu but mzigo uko vizuri sana
  11. F

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu sante sana uaminfu wako mzigo nimeupata saizi nainjoy maisha. Mkuu ni full HD thanks alot
Back
Top Bottom