Recent content by futurestar

  1. futurestar

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    hizi cream ndio kama Clotrimazole ,Nizoral,Ketoconazole ama ni tofauti ??? naomba kujua
  2. futurestar

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    hii ndio kitu inanisumbua naomba msaada kwanye experience na huu ugonjwa.
  3. futurestar

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Jamani naombeni msaada, Tabu yangu iko pale pale kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa. Fangasi sehem za siri imekuwa tatizo kwangu nashindwa nifanye vipi ili nipone niametumia dawa aina tofauti lakin tatizo liko pale pale. nimejaribu kufuatilia mtandaon huu ugonjwa unaitwa JOCK ITCH(tinea cruris)...
  4. futurestar

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mapambano yanaendelalea. [emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383] Mwenye macho haambiwi tazama.
  5. futurestar

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mliompa Arsenal straight win nawasalimu tu.
  6. futurestar

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pole sana mkuu
  7. futurestar

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Psg ni mfu aliye hai
  8. futurestar

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Anaesema kubet kazi rahisi anakosea sana aisee.... Atuombe msamaha
  9. futurestar

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nitra U19 vs Zilina U19 *OVER 1.5. 1.12* Serbia U17 vs Germany U17 *OVER 1.5 1.20* Varnsdorf vs Pribram *1 OR 2 1.29* Wolfsburg II vs E. Braunschweig II *OVER 1.5. 1.16* Alashkert vs Banants Yerevan *OVER 1.5. 1.40* Pyunik Yerevan vs Ararat Yerevan *OVER 1.5 1.28* Kampala City Council...
  10. futurestar

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizo point 5 ndio tizi kuzipata
  11. futurestar

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata mm imezingua ila fanya hivi nimejaribu ikakubali Angalia apo juu kuna sehem ya option then bofya. open with
  12. futurestar

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Link hiyo hapo tukutane Shell Bettingtips
  13. futurestar

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hesab odds then unipe majibu kama shetan akikaa pemben nini kitatokea
Back
Top Bottom