Shukrani Dr Restart
Nilikutana na daktari wa ngozi akanielezea vizuri kuhusu tatizo langu, Ni Scabies inatabia ya kutoa viupele sehemu mbalimbali za mwili hadi kwenye genitals kwasababu wanapendelea sehemu laini.
Kuhusu Herpes
Hapana, sipo sexual active kwa miaka zaidi ya miwili sasa na...
Habari zenu, natumaini wote ni wazima. Ninaomba mawazo yenu juu ya swala langu.
Mwishoni mwa mwezi wa name nilianza kupata vipele mfano wa malengelenge katikati ya vidole vya miguuni, upele ulivyokua unaanza haukua na muwasho lakini baada ya siku kadhaa muwasho ukaanza haswa wakati wa usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.