Recent content by Furahisha Miho

  1. F

    JamiiForums Tatizo la speed kwenye Huawei Y530 naomba msaada wa kuiroot

    4gb ni total internal memory ila wameigawa 1.80 kwa ajili ya processer tu
  2. F

    JamiiForums Tatizo la speed kwenye Huawei Y530 naomba msaada wa kuiroot

    Asante nimeireset now iko poa thanx
  3. F

    JamiiForums Tatizo la speed kwenye Huawei Y530 naomba msaada wa kuiroot

    Sawa nimejaribu kucheki ni ishu ya mitandao ila vp kwenye tatizo LA simu kuwa taratibu ni nini tatizo?
  4. F

    JamiiForums Tatizo la speed kwenye Huawei Y530 naomba msaada wa kuiroot

    OK ina internal 4gb ila imebaki 0.90 mb ya processer
  5. F

    JamiiForums Tatizo la speed kwenye Huawei Y530 naomba msaada wa kuiroot

    Ndio mkuu nimetumia line za a in a tofauti lakini tatizo liko palepale nadhani nikiiroot inaweza kuwa nafuu
  6. F

    JamiiForums Tatizo la speed kwenye Huawei Y530 naomba msaada wa kuiroot

    Network sio tatizo mbona wenzangu wanafurahia huduma ziko safi kwenye mtandao kama wangu na tuko sehemu moja
  7. F

    JamiiForums Tatizo la speed kwenye Huawei Y530 naomba msaada wa kuiroot

    Nashukuru ngoja nizidownload ntarudisha mrejesho
  8. F

    JamiiForums Tatizo la speed kwenye Huawei Y530 naomba msaada wa kuiroot

    Nina Huawei Ascend Y530 ya tigo ila nilishaiunlock inatumia mitandao yote. Tatizo inasumbua sana kwenye internet iko taratibu mno pia hata kufungua tu mafaili inachukua muda mrefu kufungua, hata kuna baadhi ya application hugoma kuwa installed; Nilijaribu kuiroot nikashindwa hivyo nawaomba...
  9. F

    JamiiForums Nawezaje kupata PUK ya line yangu ya Tigo ?

    asante sana ila kikasha kilipotea
  10. F

    JamiiForums Nawezaje kupata PUK ya line yangu ya Tigo ?

    Asante ngoja nifanye hivyo
  11. F

    JamiiForums Nawezaje kupata PUK ya line yangu ya Tigo ?

    Habari wana Jamiiforums naomba msaada namna ya kupata PUK za Tigo kama laini imekua blocked
Back
Top Bottom