Marekani hana Taifa huru yeye huzama kokote bila kujali sasa yupo cuba na kwingineko anawachangisha waarabu pesa kwa nguvu kugharamia vita ya iran ambayo ni super power sembuse Tanzania
ccm bado wanadhani America ni kama wanatania vile maana waziri Kombo kaongea Ujinga kuwa atawaalika wabunge wa America kuja Tanzani atagharamia gharama zote , ni aibu ni Rushwa hiyo kwani walimwambia hawana pesa za kusafiri kuja Tanzania? wana Balozi wana CIA FBI wao wapo Tanzania wanajua kila...
Wenje hakuwa akiheshimika chadema kwani anajulikana kwa Tabia za hovyo na zwazwa mwenzake ni yule mzee wa kule bomang’ombe aliyeshiriki kuuza watu kwenda Chaumaccm, zwazwa wengi unao huko ccm Nchi ina miaka 65 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko japan na mataifa ya ulaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.