Recent content by FUNDI UMEME MWAMINIFU

  1. FUNDI UMEME MWAMINIFU

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme

    Hapana. Kuna kampuni niliyokuwa nafanya kazi ambayo imesajiliwa. Hivyo bado sijaanzisha kampuni yangu mwenyewe
  2. FUNDI UMEME MWAMINIFU

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme

    Mawasiliano 0621058954 Nipo mkoa wa pwani
  3. FUNDI UMEME MWAMINIFU

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme

    Wadau Masada- natafuta kazi ya ufundi umeme. Kufanya wiring(wayaringi ya umeme) katika majumba. Pia hata kama kuna kampuni inahitaji fundi umeme basi naombeni msaada. UZOEFU WANGU 1-wiring installation. Miaka 3 2-HT&LV contraction and maintenance 33&66kv. Miaka 2 ELIMU form IV TAALUMA...
  4. FUNDI UMEME MWAMINIFU

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme

    Italeta shida japo huwezi kujua wala kuona ila siku ukiona panel ya sola imekufa basi ujue tatizo ni hilo labda utumie kwa muda tofauti yaani ac ikiwepo hakikisha sola unazima kabisa.na ac tanesco wakikata ndo uwashe sola na na uwe na switch kuu kwa ajili ya kuwasha na kuzima sola na ac ili...
  5. FUNDI UMEME MWAMINIFU

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme

    Ok hapo kwenye switch inawezekana ila nomba moja kwa dc na ac haiwezekani. patatokea ukinzani tu mwisho utaaribu sola. Ac ni umeme wa tanesco. Dc ni umeme unaozalishwa na betri. Umeme wa ac unatabia ya kuambukiza waya usio na umeme wa ac.
  6. FUNDI UMEME MWAMINIFU

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme

    nipo mikoa wa pwani
  7. FUNDI UMEME MWAMINIFU

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme

    Nafanya wiring ya umeme katika majumba. jamani nipeni dili hizo 0621058954
Back
Top Bottom