Recent content by fundi saa

  1. fundi saa

    Jinsi ya kusitisha mkopo heslb

    Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza.... nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)
  2. fundi saa

    Wito wa Kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea Mwaka 2024. Kazi kwenu!

    ukihitajika utaitwa... familia ya mama kizimkazi na hapa ipo... vijana nendeni mkalime tena nyie wenye diploma sjui degree ngoja mwende af mrudi mnalia kwamba hamjaajiriwa.... subirini wanaorudi mwaka huu mjionee
  3. fundi saa

    Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii

    sisi kwetu wanakarbia kuja wakinichagua aah miezi mitatu tu mimi yuleee laki ndogo sana aisee khaa hata kama
  4. fundi saa

    Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii

    aah yakikushinda unasepa tu kazi sio utumwa kiongozi
  5. fundi saa

    Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii

    Yaani serikali ikusomeshe kwa gharama hivi afu ufanye kazi miezi miwili ukimbie lazima wakufuate unapoishi😅😅😅
Back
Top Bottom