Zoezi la kufunga Submita hizi za PREPAY Hizi ni Mita Binafsi Ambazo ni maalumu kabisa kwa wale Watu wanaotumia mita moja ya LUKU zaidi ya mtuu mmoja limekamilika
Faida za hii Mita nikwamba owapo mtumiaji mmoja kati ya wale wanaotumia umeme Luku moja zaidi ya wawili akiishiwa umeme hatapata tena...
Tazama picha izi mbili picha ya kwanza ni kabla ya kufanya installation ya umeme
Picha ya pili ni baada ya kufanya installation ya umeme
Kwa mahitaji ya Fundi umeme wasiliana Fundi George
0622313163
0622313163
TUZIJUE AINA ZA MAIN SWITCH, MAANA YA MAIN SWITCH.
(1)AINA ZA MAIN SWITCH:
Tuna aina kuu mbili za Main switch au kwa jina lingine unaweza kuziita Distribution bord au Distribution fuse bord ambazo ni:
(a) SINGLE PHASE MAIN SWITCH au kitaalamu zaidi huitwa SINGLE PHASE NEUTRAL na kifupi chake...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.