Nilipata tetesi kuwa leo hii kungekuwa na open conference juu ya sakata la HESLB na wale tuliionyimwa mkopo elimu ya juu. Kuna yeyote mwenye taarifa kamili??
Matiku, Mkisyeli tunaomba mtujuze wandugu.
Ina maana hata cc wa diploma-prority courses tulioandikiwa completed form six/diploma more than three years back tunaweza pata huo mkopo au imekula kwetu kijana??
Dah! mdau mbona unakata tamaa mapema hv? Kuna jamaa wako huko town wanapambana kuhusu sakata hili. Mimi mwenyewe ni mhanga wajanga hili. Tujipe moyo, huenda mambo yakawa mazuri punde!!
Yap ni lazima, kisha fuata utaratibu huu,
PROCEDURE FOR CHANGE OF DEGREE PROGRAMME
All first year students are required to register in the academic programmes they have been admitted to. Those wishing to transfer from one academic programme to another will be allowed only where the student...
Basically, tofauti ipo na ndio sababu zikawa ni degrees tofauti isipokuwa zipo zipo course ambazo kwa pamoja wote mtazisoma, na zipo kozi nyingine lazima mtatofautiana.
Mfano.
1.Anayesoma engineering geology atasoma na kozi ya soil mechanics, foundation engineering, civil engineering...
Yap ni lazima, kisha fuata utaratibu huu,
PROCEDURE FOR CHANGE OF DEGREE PROGRAMME
All first year students are required to register in the academic programmes they have been admitted to. Those wishing to transfer from one academic programme to another will be allowed only where the student...
Yap ni lazima, kisha fuata utaratibu huu,
PROCEDURE FOR CHANGE OF DEGREE PROGRAMME
All first year students are required to register in the academic programmes they have been admitted to. Those wishing to transfer from one academic programme to another will be allowed only where the student...
Well, mchango mzuri umetoa kaka.
Kimsingi watu wanakata rufaa kwa kuwa vielelezo walivyovitoa mwanzo, kozi walizopangiwa be it priority or non- prriority na hali zao kiuchumi walizozieleza zimepuuzwa ama kutochukuliwa kuwa ni za kweli.
Anyways, asante kwa kutupatia japo mwangaza wa nini...
Mdau hapa naona haiko sawa.
Watu tunahistoria ya kusomeshwa na wazazi wetu kupitia SACCOS kwa mikopo na marejesho ya fedha kidogo kidogo za mama zetu wakaanga vitumbua.
Tumesoma shule za private kwa kuwa ni serikali hii haikutaka kutupangia shule zake kwa kuwa ufaulu wetu ulikuwa ni wa kiwango...
E bwana muulize huyo mkurugenzi utaratibu wa appeals unaanza kufanyika lini na ni viambatanisho gani tunatakiwa kuwa navyo ktk zoezi hilo. Pia
Na kwa wale wenye priority programs walioomba kupitia NACTE na wamekosa mkopo inakuwaje?
Huyu mkurugenzi atakuwa ana matatizo, kwani wote walipata mkopo ni mayatima na walipeleka vyeti vya vifo? Mbona wapo wenye wazazi wote wawili na ni wadosi na mikopo wamepata??Ametoa jibu la kipuuzi sana.
Ni kweli, guidelines na criteria za utoaji mikopo kwa mwaka huu walizificha. Lakini hii bado haiwapi wao excuse ya kuwanyima watu wengi mikopo.
Pesa zipo nh ufisadi na unyanyasaji tu.
Watu wenye majibu ya kipuuzi huwa hawakosekani kwenye maofisi, huyo jamaa amejibukwa mtazamo wake. Naamini wasemaji wakuu juu ya hilo wapo na watasema jambo lenye maana. Waulizeni pia mpango wa ku-appeal umekaaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.