Habari wakuu,
Ninaendesha duka la bidhaa za rejareja Kijiji cha kanyigo, Kagera. Ni eneo lenye watu wa kawaida wanaohitaji bidhaa muhimu kila siku kama mchele, unga, sukari, mafuta, sabuni, n.k. Lengo langu ni kukuza duka hili na kufikia wateja zaidi.
Kwa sasa natafuta mshirika wa kweli ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.