Recent content by From Chugga

  1. F

    SoC01 Tufungue Milango ya ajira za nje kwa wahitimu wetu

    Wakati tunahamasisha wahitimu wetu kuingia zaidi kwenye ujasiriamali kama njia ya kukabiliana na ukosefu wa ajira, ninaamini bado kuna nafasi katika soko la ajira la nje hatujaitumia vema. Kwa sababu kama soko la ajira la ndani limekuwa gumu kuna uwezekano wa kutafuta ajira nchi zingine. Hapa...
  2. F

    SoC01 Pakacha la Mimba, Masomo na Maisha nimbebeshe nani?

    Nilipopata akili nilisimuliwa kuwa wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo sana. Baba alitangulia na baadae Mama. Walezi wangu wakawa babu na bibi ambao ni wakulima kijijini Manda. Siku moja, nikiwa darasa la tatu walipita wageni nyumbani ambao walikuja kwa shughuli zao pale kijijini. Walisikia...
  3. F

    SoC01 Sisi watu wa Kawaida

    Kwanza nianze kwa kusema napendezwa sana na vijana wanaothubutu kufanya vitu tofauti na ilivyozoeleka. Mfano kuna dada mmoja huwa namuona mitaa ya Mikocheni kwa Mwalimu anauza miwa, anakuwa na mkokoteni wake wa miwa na kisu. Natamani siku moja niongee nae nijue alipataje ujasiri wa kutoka kuuza...
  4. F

    SoC01 Fumbo la uaminifu kwa vijana wa Tanzania

    Akichangia hoja ya Waziri Mkuu kwenye kikao cha 11 cha Bunge la 12 Spika wa Bunge Muheshimiwa Job Ndugai aliwasihi waheshimiwa wabunge kufikiria na kuchangia juu ya tatizo la kupungua kiwango cha uaminifu kwa vijana wa Tanzania na kupendekeza namna ya kutatua tatizo hili. Katika maelezo yake...
Back
Top Bottom