Hii itanitoa nyonga mkuu 🤣🤣. Si unajua kwa sasa Kuna vita Ukraine 🇺🇦 huko. Na mama yu busy kidogo na royo Tua, 🤣🤣🤣 kidding. Nakufata dm tuone unapunguzaje?
Asante mkuu, kwa mfano nataka utumike kwa watu wote yani hasa watoto na watu wazima na gharama za ku register app app store na play store zipoje?
Asante sana mkuu. Mfano nahitaji itumie kwa watu wa Rika zote Haiwezekani kufanya makadirio ya gharama za kumlipa devoloper na kulipia app store na...
Habari wadau,
Nahitaji kujua ili niwe na App yangu itakayo run kwenye adroid na ios nifanyaje.
Mfano kiasi gani itanigarimu maximum kwa kuwalipa developers, vitu gani nifanye ili iwe safe in terms of security(sababu nataka nitoe hudumu kwa watu kulipiza kiasi kidogo).
Kifupi naomba elimu juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.