Recent content by Fresh Don

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kuna tiba ya 'ushoga' kwa mwanaume?

    Wadau, mwanaume ambae ameshakuwa shoga, yaani yeye alikuwa anaingiliwa tu. Huwa kuna tiba ya kumtoa huko? Nilisikia kama mwanaume kaingiliwa, halafu kamwagiwa ndani, zile manii zinatakiwa kutolewa ili zisimletee shida. Ni kweli tiba ipo?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mkopo kwa kuweka dhamana ya nyumba?

    Bank wanataka Mpaka niwe Mfanyakazi za Serikalini.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mkopo kwa kuweka dhamana ya nyumba?

    Ushauri wako Sasa mkuu?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mkopo kwa kuweka dhamana ya nyumba?

    Hapana,siuzi nyumba. Ila Nina shida na mkpo wa Pesa tu.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mkopo kwa kuweka dhamana ya nyumba?

    Siwezi kuuza,maana ilipo ndio na Mimi nakaa nyumba ya uwani. Nauzaje sasa? Nina shida tu na hiyo pesa
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mkopo kwa kuweka dhamana ya nyumba?

    Thamani ya nyumba ni 50Mil. MKOPO nirejeshi Miaka 5 sio mbaya. Riba isizidi 20%.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mkopo kwa kuweka dhamana ya nyumba?

    Natamani kupata 20Mil
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mkopo kwa kuweka dhamana ya nyumba?

    Nyumba Iko Dodoma. Ina vyumba vitatu,Kimoja master. Public Toilet, Jiko ndani Iko ndani ya fensi.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mkopo kwa kuweka dhamana ya nyumba?

    Sina aiseee
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nitapataje mkopo? Dhamana yangu ni nyumba

    Bank nyingi sasa HIVI hawataki nyumba,wanamtaka Ufanye kazi Serikalin au uwe na biashara. Nyumba inabaki kama Dhamana TU
  11. F

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mkopo kwa kuweka dhamana ya nyumba?

    Halloww, naombeni msaada jamani. Wapi nitapata mkopo kwa Kuweka dhamana ya Nyumba?. Nimejaribu kwenye Banks wanasema mpaka niwe na biashara au Mfanyakazi wa Serikali, NAHITAJI MKOPO ambao dhamana ni nyumba TU. MKOPO usiwe wa dharura lakini. Niurejeshe taratibu.
Back
Top Bottom