Recent content by Freedom of speech

  1. Freedom of speech

    JamiiForums Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    Write your reply...hivi pale water Institute wanaangalia vigezo gani? maana kuna dogo kapata tree ya 24 kwa masomo ya Biology C Geography C kiswahili C English D civics C history C mathematics F lakini kakubaliwa faculty ya Irrigation Engineering! mkuu nahitaji ufafanuzi hapo please!
  2. Freedom of speech

    JamiiForums naomba ushaur

    Message…Sorry! kuna ndugu yangu kamaliza 4m four kapata div 3 ya 24 civics C Geo C bios C kisw C history C math F English D anataka kwenda chuo cha water Institute atapokelewa kwa Alama hizo? nahitaji maelekezo na ushaur nakaribisha
Back
Top Bottom