Kwa upeo wangu mdogo, nadhani kwa kuwa serikali ilifikiri kwa kina au ilikopi na kupest mfumo huu toka nchi nyingine na kujaribu ufanyia kazi utakuwa sio mfumo sahihi, huwezi ita watu 140 kwa post 1 hata kama mnataka ushindani si kiivyo ukizingatia haitoi huduma ya wanaokwenda katika...
Hakuna sehemu yenye ubaguzi na kujuana kama hawa jamaaa wa vvt...kuomba kazi hapa ni sawa na kutwanga maji katika kinu..interview za danganya toto...nyie vvt hata mtoe recruitment ya bure kuja fanya kazi hapo siji..mna gamba la kidini lakini mambo yenu ni hovyoooo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.