Habari mwana Jf...mimi naitwa FRANK MUSHI mwenye hadithi uliyoipost hapa. Hadithi iyo nimeisajili na ina namba ya usajili na hati miliki. Si sahihi kuipost bila idhini yangu kwakuwa ni kazi inayolindwa na sheria ya hati miliki. Hivyo nakusihi usiipost tena na pia nitafute kwa namba aliyoiweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.