Recent content by Franky

  1. Franky

    Aliyewahi kukutana na majibu ya HIV kama haya Msaada please

    Nenda hospital kijana acha wenge, usiendekeze sana utelezi sasa.
  2. Franky

    Onyo: Usinunue Heligo Kit bila ushauri wa Daktari

    Nimenunua leo 88,000 nimekunywa usiku nimetapika baada ya kunywa maji ya vugu vugu. Nimeandikiwa hii baada ya ile ya dawa moja moja kusababisha bacterial resistance. H.pylori wamegoma kutoka so nimekuwa prescribed heligo kit na daktari. Sasa naomba ushauri wenu wataalamu, je muda sahihi wa...
  3. Franky

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Crdb bado hadi sasa wacha nilale ila mjue barmaids watachelewa kulipwa pia.
  4. Franky

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mkuu sio wote nadhani ni kwenye sekta yetu tu
  5. Franky

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mkuu sijui kama ni annual au ni nini ila mm mshahara wangu umeongezeka by 80k
  6. Franky

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Sikumbuki mkuu huwa naangalia ya mbeleni tu
  7. Franky

    Tunzaa online shop credibility

    Wakuu habari za asubuhi. Naomba mwenye experience ya kulipia na kutumiwa mzigo na hawa jamaa wa kuitwa Tunzaa online shop, wana application yao pia wapo kwenye app ya mpesa. Kuna jambo nithibitishe.
  8. Franky

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mshahara umeongezeka kiasi sio mbaya, wale wa ushauri punguzeni shobo mkashauri familia zenu majumbani kwenu ukute hata cheque namba hamna mnajikuta keyboard rich gang mafallah sana. Wacha nikanywe bia kidogo
  9. Franky

    Msaada kuhusu kupima DNA

    Shida sana kukaa na malaya, upo ndani linaenda kuchepuka ona sasa.
  10. Franky

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Wapuuzi hawa wanatuona tuna njaa sana kumbe maisha yako sawa tu, hatujuani humu watu wapunguze ushauri tayari tuna mipango yetu. Tunasubiria mshahara sasa
  11. Franky

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hivi kwanini watu msiokuwa watumishi wa umma mnakuwa na shobo na huu uzi sana? Lengo la kuanzishwa huu uzi ni kupeana updates za lini cheque number zetu zinafurahi basi! Ushauri wa kufungua biashara sijui miradi pelekeni jukwaa la biashara, kilimo na ujasiriamali! Hapa tunaulizia lini salary...
  12. Franky

    Nini chanzo cha wazazi wa kiafrika kuwaandaa watoto ili waje wawasaidie?

    Inasikitisha sana wazazi wanawageuza watoto ndio retirement fund! Sasa mtoto ahudumie familia yake halafu akuhudumie na ww uliyekula bata miaka 40 bila kufikiria fainali uzeeni ipo kweli. Tunahitaji kubadirika sana
Back
Top Bottom