Kwa upande wangu,kama kweli huyo mme kampenda mke wake,sioni kosa la kuto kuendelea kumpenda mkewe maana historia kama hiyo nimewai kuiona hapa ulaya (Canada). Mzungu aliyemuowa dada yetu fulani wa ki-Afrika (mweusi) alijikuta anamlea mtoto mweusi wala asiye mfanana babake,huku dada yetu huyo...