Recent content by frankchief

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Arusha olasiti darajani barabara ya Mrombo

    Kiwanja kinauzwa arusha olasiti kipo njia ya mrombo kabla ya ffu kambi darajan kulia ukitokea mjini mita 800 kutoka lami mpaka kwenye kiwanja huduma zote zipo karibu kiwanja kina hati ni 18*25 eneo lipo barabarani kwenye barabara za mitaa bei ni 20m maongezi yako. Serious only 0629194102.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa njiro Temdo Arusha

    Kiwanja kinauzwa Njiro Temdo kwa nyuma. Kiwanja kina ukubwa sqmt 2198, urefu wa kiwanja ni 59.43 na upana ni 37 ni mita 900 kutoka njiro barabara kuu. Huduma za kijamii zinapatikana. Maongezi yapo. Sqmt 1 ni Tsh. 50,000, maongezi yapo. 2198*50,000=109,900,000 maogezi yapo karibu sana. Huduma...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa Arusha

    Shamba linauzwa lipo mpakani mwa Arusha na Manyara, lina ukubwa wa heka 180 linauzwa lote huduma ya umeme ipo maji mabomba yameshapita lakini mwisho wa eneo kuna mto umepita na shambani kuna camp imetengenezwa pia. Kutoka Arusha mpaka shambani km49 unapitia njia ya Oljoro eneo linaitwa Oljoro...
Back
Top Bottom