Recent content by frank victor

  1. frank victor

    JamiiForums Tanzania Hii ndio njia ya kisasa na salama ya kupata maji asilia ya kunywa

    Nawakilisha kampuni za kimataifa za Water Logic na Aquavita. Tunatoa huduma ya maji ya kunywa kupitia dispenser zisizotumia chupa za plastic katika sehemu za kazi hasa sehemu zenye idadi kubwa ya watu kiasi (watu 30-50 na kuendelea) Bottless dispenser zetu ni kama kiwanda kidogo cha maji...
  2. frank victor

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Ujenzi: Bomba za maji/umeme na viungio vyake (PIPES AND FITTINGS)

    Nawakilisha kiwanda cha Lesso kutoka China. Tunasambaza bidhaa za quality ya juu za Mabomba ya maji/umeme na viungio vyake maarufu kama pipes and fittings. Tuna bomba za PVC, UPVC, PPR, GS pipes, electrical/communication duct, Conduit pipes na HDPE e.t.c Unaweza kuagiza mzigo kutoka China ukawa...
  3. frank victor

    JamiiForums Tanzania Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    ebu tuache masihara jamani, hii dawa inatibu kipara kweli?au inarefusha nywele kwa walio na nywele? kama nywele zangu zinakua kama za robben zitarudi kweli? alietumia kuficha upara atoe ushuhuda hapa ukitoa mtoto wa Anty zainabu, nani mwingine?
  4. frank victor

    JamiiForums Tanzania Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    ebu tuache masihara jamani, hii dawa inatibu kipara kweli au inarefusha nywele kwa walio na nywele.. kama nywele zangu zinakua kama za robben zitarudi kweli?
  5. frank victor

    JamiiForums Tanzania Naitaji game ya ps 3 fifa 14

    Kama kuna mtu anafaham ntapata wap game ya ps 3 fifa 14 ya bei nafuu naomba anishtue namba 0767112141
Back
Top Bottom