Recent content by Frank silva

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mchele upi unapendwa sana?

    Guys naombeni kujua jinsi mchele grad one unavyokua au kuonekana au wapi unapatikana ili nisijekuingizwa mjini maana ndio kwanza bado mgeni please [emoji120] I need help
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kuuza mchele jumla na reja reja

    Wadau ipi inalipa kati ya kununua shambani then ukoboleshe na kuupeleka dukani au kununua tu mashineni moja kwa moja nakuenda kuuza dukani. Ipi iko sawa zaidi? Na je, mgawanyo wafaida ukoje kwa wazoefu?
Back
Top Bottom