Gharama za maisha zimekuwa zikipanda siku hadi siku. Vyakula vimekuwa juu kiasi kwamba wananchi wanalazimika kuishi maisha magumu kupindukia. Serikali imeshindwa kuwasaidia wananchi ktk kipindi kigumu wanachopitia haswa kuzuia mfumuko wa bei wa vyakula na bidhaa.
Serikali inatambua wazi kuwa...
CHADEMA; ni mdau mkubwa sana wa mapambano ya kuidai demokrasia na haki inchini, tunawaheshimu sana na tunautambua umuhimu wao ktk juhudi zote. Binafsi nilidhani chama no1 ambacho kingetuunga mkono ktk kumfukuza mbatia uwanachama ni CHADEMA lkn kwa masikitiko tunashindwa kuwaelewa CDM wako ktk...
Mbatia aligomea TCD baada ya kukataliwa na Rais kuteuliwa Ubunge. Alafu nyinyi si ndio mlianzishaga kumuuita Mbatia msaliti? Anatumika na CCM?
Leo mbona roho inawauma sisi kumuondoa mtu wa namna iyo? Sema kuhusu Mbowe alivyotoka gerezani akakimbilia moja kwa moja Ikulu na baada ya hapo...
Kila chama kina utaratibu na katiba yake, ninawashangaa wanasiasa waliokosa maneno ya kuzungumza wanawashwa na utaratibu wa kikatiba unaofanywa na chama chetu cha NCCR mageuzi.
Chadema mnatupaka matope kwasababu mnafahamu tumeliondoa tatizo ambalo hata nyinyi linawatesa bila kusema. Tuhuma za...
Kila chama kina utaratibu na Katiba yake, ninawashangaa wanasiasa waliokoma maneno ya kuzungumza wanawashwa na utaratibu wa Kikatiba unaofanywa na chama chetu cha NCCR Mageuzi.
CHADEMA mnatupaka matope kwasababu mnafahamu tumeliondoa tatizo ambalo hata nyinyi linawatesa bila kusema. Tuhuma za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.