Recent content by Frank Nzota

  1. F

    Plot4Sale Shamba ekari 150 linauzwa mkoani Njombe, Tarafa ya Lupembe

    Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari 150 linauzwa. Liko mkoani njombe tarafa ya Lupembe, kijiji cha lwanzali kwani miundombinu yote iko sawa, na kila ekari ni laki moja na nusu kwa mawasiliano zaidi Wasiliana nasi kwa namba; 0763165384.
  2. F

    Plot4Sale Shamba ekari 500 linauzwa

    Shamba lenye ukubwa wa ekari 500 (mia tano) linauzwa @ekari ni laki moja na ishirini 120000.shamba ni zuri naharina longolongo na linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ardhi yenye lutuba mno,shamba lipo mkoani njombe tarafa ya Lupembe na miundombinu yote ikosafi kwa mawasiliano zaidi piga...
  3. F

    Plot4Sale Shamba la ekari 700 linauzwa

    Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari 700 linauzwa.liko mkoani njombe tarafa ya Lupembe,kwani miundombinu yote iko sawa,na kila ekari ni laki moja na nusu kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba; 0763165384.
  4. F

    Plot4Sale Mashamba mkoani Njombe yanauzwa

    Kwamahitaji yamashamba kwa ajili ya uwekezaji nitafute zaidi kwa namba 0763165384. Mashamba Yana miundombinu yote.napatkana mkoa wa njombe kata ya lupembe.
  5. F

    Nahitaji gari

    Nahitaji premio no d iliyonyooka na ambayo haijagongwa Wala kuludiwa Rangi tuma wasap no 0763165384
  6. F

    Car4Sale Gari aina ya Collora Njombe inauzwa

    Gari Haina shida yeyote niyakuwasha na kuondoka
  7. F

    Car4Sale Gari aina ya Collora Njombe inauzwa

    Collora x iko Njombe inauzwa m 5.5 kwa mawasiliano zaid 0763165384 au 0747174196. Maongezi yapo.
  8. F

    Plot4Sale Shamba linauzwa Njombe

    Na ni eneo ambalo limeka vzuli hata kwa ufugaji
  9. F

    Plot4Sale Shamba linauzwa Njombe

    Halina shida yeyote
  10. F

    Plot4Sale Shamba linauzwa Njombe

    Shamba linafaa kwa kilimo Cha palachichi,miti yote ya mbao,nakilimo chote Cha umwagiliaji linafaa na maji yapo ya kutosha Bei ni lak moja na nusu kwa ekali moja
  11. F

    Plot4Sale Shamba linauzwa Njombe

    Mlima wote umezungukwa na mto mkubwa wa maji na linafaa kwa kilimo palachichi,miti yambao nk na Bei ni laki moja na nusu (150,000)kwa ekari moja
  12. F

    Plot4Sale Shamba linauzwa Njombe

    Shamba linauzwa lenye ukubwa wa ekali 350. lipo mkoa wa Njombe tarafa ya Lupembe Kijiji Cha lwanzali namiundombinu kama maji yapo yakutosha na linafaa kwa kilimo chochote like.kwa mawasiliano piga 0763165384 au 0719655616.
Back
Top Bottom