Recent content by Frank King

 1. Frank King

  Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

  Upo wapi ewe utuhabarishaye? Mbona hatuoni picha na shamrashamra za hapo Airport!!
 2. Frank King

  Wa mwisho ndio mshindi

  Nani aliyempa Mamlaka Job Ndugai,yakumrudisha Cecil Mwambe Bungeni ili hali alishajitoa?
 3. Frank King

  MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?o hili

  petro matei, Na mimi wakwangu Anamiaka hivyo hivyo,na tabia kama hizo hizo ulizozisema,,,kwakweli sijui tunafanyeje hapa. Mtaalam ebu tupe namna tufanyeje wenda tukapata njia.
 4. Frank King

  Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

  Daudi huyu mtu walimshika na mkono wa Albino,,,,Huyu jamaa alikuwa hayupo,karudi juzikati tu.alikuwa na tuuma nzito na serikali...hii issue Ilizimwa kimya kimya,na akakubaliana na masharti yakumpigia debe mkulu 2020
 5. Frank King

  Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

  Ha ha ha ha ,,,LAZMA AMPIGIE KAMPENI KWASABABU JUZI KATI SI ALISHIKWA NA MKONO WA ALBINO?....ikabidi akubaliane na Masharti kama alivyo yakubali Gwajima.
 6. Frank King

  Watu hutazama mwisho wako na si mwanzo wako

  Naona ANGUKO KUU LA Paul Makonda. Atatafuta njia ya kupita,atakuwa amechelewa Atalitafuta Jeshi linalomzunguka sasa,,,Hataliona tena. Ataomba Msaada kwa Baba yake,ambaye muda huo atakuwa ameji quarantine CHATO,,,,hatasaidiwa Mungu alivyo muaminifu,yoote atakayotaka kufanya ili kuiokoa nafsi...
 7. Frank King

  Lema amjibu DPP Mganga Biswalo, amtaka aache kutisha watu

  Asante Sana Mh. Lema Mungu akubariki kwa maneno mazuri yaliyo ubariki moyo wangu.
 8. Frank King

  Hivi ndivyo NIDA inavyoshughulikia Watanzania Wazawa?

  Serikali ya chama cha mapinduzi ndivyo ilivyo,,,,binafsi nina namba tu,,,,of course walinitumia sms kwamba kitambulisho nikakichukue kipo tayari,,,nikajizoazoa mzima mzima nikafika,kisha nikauliza Kitambulisho na nikawaonyesha na sms waliyonitumia,,, Jibu walilonipa”HAKIONEKANI,WENDA...
 9. Frank King

  Rais Magufuli amlipia Peter Msigwa Tsh. Milioni 38 ili atoke gerezani, CHADEMA wadai wameshamlipia Mil 40

  Nilichogundua ni kwamba WASHAURI WA Rais ni bogas kweli kweli,...
 10. Frank King

  TCRA kulazimisha laini moja tu kwa kila mtandao kwa Raia si sahihi!

  Sijawahi kuona Serikali ya ajabu kama SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI.
 11. Frank King

  Esther Bulaya: Nyakilanganyi Construction LTD ni akina nani hawa miaka 12 ya upigaji fedha za maji Bunda! Rais, Waziri Mkuu wote wakwama

  Nikwasababu Viongozi wote watoa tenda,,wapo mfukoni mwake. Nimesema huyu mjamaa akipata dili la bilioni moja,,,atahakikisha million mia tano amenunua serikali,yaani yupo radhi apate faida ndogo lakini tenda ziwe zake kila iitwapo leo.
 12. Frank King

  Esther Bulaya: Nyakilanganyi Construction LTD ni akina nani hawa miaka 12 ya upigaji fedha za maji Bunda! Rais, Waziri Mkuu wote wakwama

  Nyakirang’ani ni mfupa ulimshindaga fisi.... Jambaka lililoiweka serikalI MFUKONI tangu enzi ya Kikwete,,,mbabaishaji flani hivi mwenye kula na wakubwa,akipewa mradi wa ml 800 aidha wakukwangua tu barabara,atahakikisha ml 400 anainunua nayo serikali....yaani hiki kikampuni cha ajabu mno.
Top Bottom