Bro,c maanishi cjui nin nitakachokwenda kusomea.But nilkua naulizia kazi yoyote yakufanya wakati huu npo nyumbani kabla ya kuanza chuo.
Kunakazi nilizokua nikifanya lakini cyo za ujuzi so ukiondoka hakuna utakapo patumia kwengine(eg.Car wash)
Hvyo nilipenda kumpata mtu atakaye nisaidia kupatA...
Habari wana jf.Mimi ni muhitimu wa kidato cha6 mwenye ufauru w Div3
Natafta kAzi yoyote ile hususa ya ufundi ili niweze kupata ujuzi na kujiAjiri.
Nina umri wA miaka21,Tafadhali kana nitapata msaada huo nitashukuru ndugu zangu(jforum)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.