Recent content by FrancoTheStoryTeller

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kikazi Masasi. Mazingira ya huko yapoje?

    Me nimetokea Dar nimepangiwa TCB branh masasi
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kikazi Masasi. Mazingira ya huko yapoje?

    Natokea Dar nimepangiwa kikazi TCB Masasi Branch
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kikazi Masasi. Mazingira ya huko yapoje?

    Nimepangiwaaa kikazi Branch ya TCB Masasi unapojua sehemu ilipo kwa masasi na mazingira ya kupata chumba self ipoje natarajia kureport January
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kikazi Masasi. Mazingira ya huko yapoje?

    Habari zenu wanazengo Samahani nimepangiwa kikazi. Masasi Mazingira ya Masasi yapoje mwenyeji anijuze na ipo sehemu gani na mabasi ya kuja huko. Mtaa gani mzuri ambao hautakuwa mbali sana na sehemu ya kaz? Bei za vyumba zimekaaje? Unalipa.miezi mitatu au sita? Nitatakiwa kupitia kwa dalali ama...
Back
Top Bottom