Recent content by francoo1

  1. F

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Mzee Acha kutulisha futari iliyolala baada ya Mapinduzi ya Iran mwaka 79 Israel na Iran hawajawahi kua marafiki maana Iran alianzisha hezbolah mwaka 82 ili kutetea washia wa kusini mwa lebanoni walionyang'anywa ardhi na Israel In 1982, Hezbollah was conceived by Muslim clerics and funded by...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Iran alivoshika tuu itikadi za kiislam mwaka 79 basi Moja wapo ya malengo yake ya kwanza yalikua ni kuifutilia Israel Duniani. Hapo ndo akaanza kuunda proxy za kupambana na Israel kama hezbolah. Viongozi wake wa kidini na kiserikali walishatangaza wazi wazi kwamba wanataka kuifuta Israel kwenye...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Iran alikua ananzisha vita kupitia proxy wake yeye anakaa pembeni akakula kuku na mrija, Sasa wakaona wamfuate na yeye live aone na yeye utamu wa makombora
  4. F

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Mmebaki kuongea porojo na stori za kutengeneza... Mshaona mbinu za kivita mmeishiwa Sasa mmebakiza mbinu za mipasho
  5. F

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Wambie hezbolah watangaze hadharani majina ya makamanda wwaliowaua hadi Sasa... Mbona taarifa zingine hua wanazisema?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Yani we kichaa umeona ujitekenye mwenyewe alafu ucheke mwenyewe
  7. F

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Umebaki kuongelea tetesi tuu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    We chizi kweli wenzako wanakufa real we unachekelea unaleta porojo..
  9. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

    hamna lolote ayatola mpya mwenyewe amekatwa mguu alafu amekua kiziwi
  10. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

    ndo kuzidiwa kwenyewe sasa huko
  11. F

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    mmehamia kwenye vita ya mipasho
  12. F

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    mbona wanajificha?
  13. F

    JamiiForums Tanzania Iran yatoa amri ya wakazi wa Telaviv kuhama

    kwa hiyo usipoonekana ndo umekufa unaona ulivo huna akili? kama hiyo video ni ya zamani na ni AI iran wathibitishe kwamba wamemuua, leo Ali Rarijani kauliwa an Israel Defence Minister amethibitisha, sasa Iran nao wafanye hivo acha kuongea mipasho ya bi. hadija kopa
  14. F

    JamiiForums Tanzania Iran yatoa amri ya wakazi wa Telaviv kuhama

    Sasa wewe hujielewi hata, mara unasema kafa, mara kakimbia.. makobazi wenzako wa Iran huko mara wanasema amekufa alafu hao hao wanasema wanataka kumuua Sasa mtu aliyekufa unamuua vipi Tena? Kweli hichi kipigo mnachopewa sa ivi kipindi Cha swaumu kinawachanganya asee
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ndege 5 za kujaza mafuta za US zaharibiwa na Iran

    Check poit zote za Iran Sasa hivi wanajeshi wanajificha chini ya madaraja ili wasitunguliwe na makombora
Back
Top Bottom