Recent content by Francisca Emmanuel

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nasikitika sana kupoteza jimbo la Segerea, sikufikiri kama Mtatiro atashindwa

    Mbona umekubali Mgombea urais awe Lowassa kwa vyama vinne kwahiyo naye hana akili?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    Achen ubishi jamani anayetaka kutambaa utavuka hadi kigamboni zitto ameshinda, machari na kafulila Out
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nasikitika sana kupoteza jimbo la Segerea, sikufikiri kama Mtatiro atashindwa

    Sana yaan alichokiandika n kweli kabisa me jana napigakura naona jina la mother nikajiuliza huyu sindio amejitoa? Eeh matokeo yake vijana wanaoangalia alama ya vidole viwli wamempigia yeye badala ya Cuf
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nasikitika sana kupoteza jimbo la Segerea, sikufikiri kama Mtatiro atashindwa

    HATUWEZI KUSHINDA UBUNGE SEGEREA... Ndugu zangu, kwa moyo mkunjufu kabisa napenda kuwajulisha kuwa hatuwezi tena kushinda ubunge wa jimbo hili kwenye uchaguzi uliofanyika jana. Matokeo ya majumuisho ya kila kata yanaonesha kuwa mgombea wa Chadema, Bi. Anatropia Theonest ana wastani wa kura...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nani kuchukua ubunge Segerea

    Si Ukawa ameteuliwa Mtatiro tu huyo wa CDM ametoka wapi?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nani kuchukua ubunge Segerea

    Vipaumbele vyake ni nn
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nani kuchukua ubunge Segerea

    Habarini za asubuhi wanaJF, naombeni maoni yenu ni nani atakayeshinda ubunge kati ya Julias Mtatiro CUF, Frank Mwikongi ACTWazalemdo na Bonah Kalua....siku zimebaki chache
Back
Top Bottom