Wakati namuoa sikujua kama ana majini, hata hivyo nikiri kwamba sikufanya utafiti wa kutosha kabla ya kumuoa tulidumu kwa miezi sita tu katika uhusiano na kisha kuoana, tuna miaka 4 sasa.
Miezi 4 baada ya ndoa, usiku tukiwa tumelala nilishtuka kuona mke wangu ananipiga kabali ya nguvu nikadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.